Hahaah maisha ndio haya hayaHapana usijipe ulazima wa kusaliti mama..lkni saa zingine mwanaume hufanya mwanamke asaliti.
Hivi case kama rafiki yako kutembea na mwanaume wako na ukajua tena unajibiwa utopolo mtupu utaaacha kusaliti kweli.
Kuna wanawake wanapitia mateso ya mahusiano lkni hawawezi kusema kuwa wanachepuka😅😅
Have fun maisha ndo haya haya 🥂🥂
🤣🤣
Unazungumzia kujisitiri kupi huko labdaKipo sio kila mtu ni mali ya umma ni kujisitiri tuu
😚😚😚Kwema mkuu
Nimekumiss pia nimekuja kwa mwendo wa farasi kama kipchoge
KabisaHahaah maisha ndio haya haya
Labda tukiwa hatuna pesaa....😅😃Na nyie pia hamjawahi kueleweka😅😅😅
Wacha wee😅😅😅haya bhanaLabda tukiwa hatuna pesaa....😅😃
Ila Mimi ujue naelewekaga ktk kila situations..
Nilipigiwa simu hadi na wajomba wa mchumba,,,kkkkk.Huyu sasa alizid katika kitu siwezi fanya ni hiki mimi mwenyewe ningemjibu hivyo hivyo ni uboya huo
Yan umetoka kwenye title ya upekuzi wa simu ya bae wako mpaka kwenye kunyanduana. Watu mnapenda mikitoNa wewe tafuta mnyonge umzibue.
Ila jua mwanamke mpaka anachepuka kuna sababu.msituonee huruma kitandani jamani.tutembezeeni moto🧚♀️🧚♀️
yan mimi nawazaga hivo ivo man. naumiagaa kinomaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kinachomuumiza mwanaume anapochitiwaaa na mtu anaempenda ni kule kuwaza inamaana simridhishi ndo maana anachit, pia unapowaza ule ufanyikaji wa lile tendo ndo nguvu huisha unawaza yawezekana kageuzwa geuzwa kama chapati kuliko navomgeuzaga mimi dah! yaani ni full kuwaza ujinga
jamaa kaniacha hoii saanaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa umemaliza kila kitu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kutonesha vidonda vya watu
umeniacha hoi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo jamaa mmoja alichukuwa simu ya mpnz wake akanitext,,,baby mambo?
Nilipogunduwa nachat na dume.
Nikamtext kama wewe ni Farida nambie juzi tulipolala nilikojowa mbele goli ngapi na nyuma nilikojowa goli ngapi?
Jamaa akapiga simu ,, ana hema presha 300..
Akajitambulisha ni mchumba wa Farida,,nimueleze ukweli wa uhusiano wetu....
Kkkkkkk..
Ukitaka ufe mapema chunguza simu ya mpnz wako.
Hyo ndy dawa ya dume linalo piga simu namba anazokuta kwenye simu ya mwanamke wake..umeniacha hoi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hyo ndy dawa ya dume linalo piga simu namba anazokuta kwenye simu ya mwanamke wake..
Akikutext wewe gusanisha waya..mpige shot ..