Upekuzi wa simu ya mpenzi wako

Upekuzi wa simu ya mpenzi wako

Na wewe tafuta mnyonge umzibue.
Ila jua mwanamke mpaka anachepuka kuna sababu.msituonee huruma kitandani jamani.tutembezeeni moto🧚‍♀️🧚‍♀️
I wish I could be IGP🏇🏇
 
Embu tukukane hapa ndugu zangu, nini kilikukuta na ulichukua uamuzi gani baada ya kukagua simu ya mpenzi wako.

Mimi nlikua nimeenda msalimu kwake kwa “Suprise” nkakuta mlango umeegeshwa tu alitoka kwenda kununua kitu shop Ndio sababu aliyonipa pindi aliporejea, aliacha simu kwenye charge nkaperuzi chap nkakuta message za kawaida isipokua moja ya malalamiko, jamaa alikua ana hoji kwanini alikua hayupo sawa Kama siku zingine kwenye mgegedo ohooh, chap nkafanya survey ya chumba nka kagua kagua bafuni na sehemu zote ntakazo pata evidence hadi kwenye sehemu anapokusanya taka taka (dustbin) nkakutana na kipisi cha condom iliotumika.

Hapo ndipo nkishiwa nguvu na kusema hawa shetani wadogo hawana huruma kabisa. Mpaka leo nkikumbuka nashtuka umpya sikutegemea kama nako kana ujanja ujanja mana kalikua kapole na kamcha Mungu Kweli Kweli nkajua nakula peke angu.

Nanukuu: kama demu wako anaishi kwake piga kifua mara 3 kisha nawewe mwaga yaliyokusibu baada ya kuperuzi simu ya mpenzi wako

TWENDE SAWA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kiherehere chako kilikuponza, usiwe unakagua simu ya mpenzi wako, jitahidi kumwamini maisha yasonge
 
Yupo jamaa mmoja alichukuwa simu ya mpnz wake akanitext,,,baby mambo?
Nilipogunduwa nachat na dume.
Nikamtext kama wewe ni Farida nambie juzi tulipolala nilikojowa mbele goli ngapi na nyuma nilikojowa goli ngapi?
Jamaa akapiga simu ,, ana hema presha 300..
Akajitambulisha ni mchumba wa Farida,,nimueleze ukweli wa uhusiano wetu....
Kkkkkkk..
Ukitaka ufe mapema chunguza simu ya mpnz wako.
 
Jamni kina mtu mwingine anapitia hali kama yangu.kwa kuingia JF.yan JF inaniletea mambo meusi nikitaka kuingia 😔😔
 
Yupo jamaa mmoja alichukuwa simu ya mpnz wake akanitext,,,baby mambo?
Nilipogunduwa nachat na dume.
Nikamtext kama wewe ni Farida nambie juzi tulipolala nilikojowa mbele goli ngapi na nyuma nilikojowa goli ngapi?
Jamaa akapiga simu ,, ana hema presha 300..
Akajitambulisha ni mchumba wa Farida,,nimueleze ukweli wa uhusiano wetu....
Kkkkkkk..
Ukitaka ufe mapema chunguza simu ya mpnz wako.

Huyu sasa alizid katika kitu siwezi fanya ni hiki mimi mwenyewe ningemjibu hivyo hivyo ni uboya huo
 
Back
Top Bottom