Hahahhahahaha hahahhaha mkuu
Chapakila hawa viumbe waache tu kama walivyo.
Me nilibadilisha laini kisiri nilichukuwa laini yangu ambayo haitambuliki kwa wengi nikaiweka kwenye simu yake (ni simu ya laini mbili) nikatoa lain yake moja inayotumika sana nikaweka kwangu. Sasa kimbembe kilikuja usiku kumbe alikuwa ana toka na Mume wa mtu hivyo wanawasiliana usiku sana kuanzia saa7-9 /10 wapenzi wao tukiwa tumelala.Ko demu alikuwa akiwa namm anajiamin sana hadi simu yake ananipa mwenyewe coz anajua hakuna noma mpaka usiku.
Sasa mida ya saa 7 kama na dakika 16 ivi sms zikaanza kumiminika alivyoona hazijibiwi akapiga nikaamka naona namba ngeni kumbe ht hajai save kaikalili tu. Sikupokea nika pitia texts zake nikagundua na jamaa mwenyewe nikamjua. Nikasema huyu hata nikigombana nae haitasaidia mana demu mwenyewe hatukuwa kwenye mipango ya ndoa ko nikachat na yule bossi akijua anachati na mchepuko wake. Nikawa naitwa baby mara anamkandia bwana wa yule demu bila kujua ndo anaechat nae. Mikawa mpole huku naugulia maumivu moyoni nikiwa na lengo langu .Nikampiga mzinga wa laki 5 akachomoa akasema anatuma 3 asbuhi saa4 nikakaaa kimya akajua dem kanuna akaanza kubembeleza mara akajaa et basi nitakutumia 3.5 nikasema poa. Kweli jamaa asbuhi akapiga sikupokea nikamtext nipo kwenye daladala tuchat nikamsisitiza atume fast jamaa likatuma 4. Nikashuka fast kwa yule demu nikakuta ashagundua kama nilichange lain akawa na hofu ila me nikajishusha ili nipate pin yake ya m-pesa demu akatoa kwa hofu nikaihamisha ile pesa fast nikampa laini yake ndo nikamchana makavu tukaishia hapo.
Sintasahau mana dem alikuwa ashakuwa kama rafiki nje ya mahusiano tulifanya vitu vingi but laki4 zikanipooza machungu japo kwa mbaali.