Upekuzi wa simu ya mpenzi wako

Upekuzi wa simu ya mpenzi wako

Na wewe tafuta mnyonge umzibue.
Ila jua mwanamke mpaka anachepuka kuna sababu.msituonee huruma kitandani jamani.tutembezeeni moto[emoji3344][emoji3344]

Ningekua mzembe Sawa ila bora wew upo muwazi sasa wenzio wanajidai wakimya wapole walokole ila wanatupiga dana dana unajua kila mwanaume anajiweka mahali anaona yupo safe yani mtu katulia kumbe Hamna kitu ukigeuka tu watu wammshikisha ukuta
 
Kama umeamua kua kwenye mahusiano kwanin usitulie ka uwezi Kwanin uteke moyo wa mtu ili umuuumize? Kutombewa kuna uma nyie Hata kama alivaa ndom bado kapita napopita mimi
Na nyie msituumize makusudi.
Ukiwa na makando yako huko make sure huoneshi tofauti za kipuuzi kwa mpenzi wako.

Mwanamke akisaliti kuna sababu huwa hatukurupikagi
 
Kwa mwanaume ni kawaida na hakuna mwanaume rijali na inafahamika Ila tatizo nyie siku hizi mmetuzidi hadi sisi na matukio hayo, swali wewe hujawai leta mwanaume kwako tofauti na mpenzi wako?
Sijawahi.. natumaini sitokuja kufanya hivo hata iwaje.
 
Sijawahi.. natumaini sitokuja kufanya hivo hata iwaje.

Kama wew ni mwanamke na ushawai ishi peke ako aah ukweli unao mwenyewe baki nao kifuani sisi tunaoishi nao tunajua yanatoendelea hata kama sio hapo kwako basi kuna mahali tu utaenda kupata huduma “uhuru” Ndio kipimo cha mwanamke wengi kupitia uhuru huu ndo mnachakazwa haswa na huko huko ndipo mnaanza mahusiano, usitudanganye
 
Mimi Sha mwambia kabsa aki kagua cm yangu atakayo yakuta alie peke ake sim bembelezi make kalifind mwenyewe

Bora uwe Ivo sasa hawa vizibo wengine wanakua wana pretend kama walokole kumbe ooovyo aisee
 
Kama wew ni mwanamke na ushawai ishi peke ako aah ukweli unao mwenyewe baki nao kifuani sisi tunaoishi nao tunajua yanatoendelea hata kama sio hapo kwako basi kuna mahali tu utaenda kupata huduma “uhuru” Ndio kipimo cha mwanamke wengi kupitia uhuru huu ndo mnachakazwa haswa na huko huko ndipo mnaanza mahusiano, usitudanganye
Nidanganye ili nionekane vipi labda... Sikulazimishi kuniamini[emoji6]
 
Ningekua mzembe Sawa ila bora wew upo muwazi sasa wenzio wanajidai wakimya wapole walokole ila wanatupiga dana dana unajua kila mwanaume anajiweka mahali anaona yupo safe yani mtu katulia kumbe Hamna kitu ukigeuka tu watu wammshikisha ukuta
Hao wanaopinga hapa nawazoom tu lakini ukweli wanajua.

Siku serikali ikisema ni lazima kupima DNA kwa lazima kila familia....dadeki ndo hapo utakapojua wanawake ni watu wazuri mno lkni ukiwaletea mambo meusi ni miyeyusho 😅😅😅
 
Back
Top Bottom