Wewe ni nyambaaaaaaaafffff kama IGP wako.
Jenga hoja mkuu jazba hazisaidii nadhani ina reflect who u r! pinga kwa sababu au support kwa sababu
Wewe ni nyambaaaaaaaafffff kama IGP wako.
unatakiwa kusubiri matokeo ukiwa nyumbani kwako na sio kuwepo maeneo ya kupigia kura huo ndio utaratibu wa uchaguzi
acha mawazo mfu wewe hivi helkopita ni nembo ya chadema kewli?au unajiropokea tu na hujui hata maana ya nembo.tatizo lenu magamba mliuo wengi kama akina mji marefu mmekomea la saba felia.huna jipya kajipange upya!helikopta hiyo kama in nembo ya chadema basi tume wako sahihi. haziruhusiwi hata sare za chama eneo la upigaji kura sembuse chopa yenye bango la chama?
kichwa chako kiko sawa?tasfiri ya mita 100 ni sawasawa na kuwa nyumbani kwako, sasa unakaa barabarani na vikundi haramu ili iweje? Kuonyesha alama ya v katika siku ya uchaguzi nayo ni sawa? Wasiwasi wa nini? Be in ur house guys
Saa 10 jioniMwisho wa kupiga kura ni saa ngapi?
Hivi hela hizo wanazitoa wapi?
habari kutoka Arumeru ni kuwa baadhi ya wanachama wa chadema wamekiuka agizo la IGP la kwenda nyumbani baada ya kupiga kura zao,wamekuwa wakiranda randa na kuonyesha alama ya V kwa watu walio katika foleni za kupiga kura ktu ambacho ni kinyume cha taratibu za uchaguzi! hii inatasfiriwa kuwa ni kulichokoza kwa makusudi jeshi la polisi ili wakichukua hatua kali ionekane wanaonewa
Kama Sugu yuko Arumeru atakuwa anakosea, kata ya Nzovwe (Mbeya Mjini) nako kuna uchaguzi mdogo.
zomba bwana, haya nitaandika tena! jumla ya wapiga kura wa arumeru ni 127xyz. Hizo sehemu za mamia (x), makumi (y) na mamoja (z) sizikumbuki. samahani kwa usumbufu!Kama huyakumbuki mbona umeyaandika (7)? kwa hesabu yako ambayo huyakumbuki ni makumi na mamoja. Kuwa makini.