respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Wakuu salaam,
Waliopo huko Kibamba na Bunju hebu mtujuze kinachoendelea huko ktk Mkutano wa Kamanda Lowassa, hapa Kariakoo hakuna umeme ulishakatika zamani sana, tangu waliposikia Mzee atakuwa live kwenye chanel zote wametufilisi umeme tangu saa moja asubihi. Kwahiyo mtu aliyeko kwenye mikitano hiyo atujuze kinachoendelea. Tukumbeke habari si tu mpaka awepo Mhemiwa mwenyewe, hapana. Hata utengenezaji wa jukwaa, pembe lilipokalia, hamasa ya watu maeneo hayo, hali ya hewa na vitu kama hivyo ni habari tosha.
Mabadiriko ni sasa, Vote For Change.
BACK TANGANYIKA