Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,608
- 2,736
Mkuu wa mkoa ndio Daktari, mwambieni akae mbali hayo sio maandamano ya chadema, atakwenda na maji na kipara chake hichoMkuu wa mkoa anafuatilia hilo
Mkuu wa mkoa ndio Daktari, mwambieni akae mbali hayo sio maandamano ya chadema, atakwenda na maji na kipara chake hichoMkuu wa mkoa anafuatilia hilo
Mkuu wa mkoa ndio Daktari ?, mwambieni akae mbali hayo sio maandamano ya chadema, atakwenda na maji na kipara chake hichoMkuu wa mkoa anafuatilia hilo
Kapime aiseeJana nlikuwa kwenye eneo la mkusanyiko wa watu wengi.nilishikwa mafua ya ghafla mpaka sasa nina mafua makali mpaka navimba osoo.loh.sijielewi elewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,tako lako unakufa nalo hivihivi km masogangeJana nlikuwa kwenye eneo la mkusanyiko wa watu wengi.nilishikwa mafua ya ghafla mpaka sasa nina mafua makali mpaka navimba osoo.loh.sijielewi elewi
Sent using Jamii Forums mobile app


Natambua umahiri wetu wa kuvifanya vitu serious kuwa mizaha. Natambua ujuzi wetu wa kuyageuza majanga kuwa manufaa ya kisiasa.
Hivi ni kipi kikubwa tumekifanya kama taifa cha serious kujikinga na hili gonjwa linalotaka kuwa janga la dunia?
Nimemsikia Waziri wa Afya akikutangazia umuhimu wa kutoshikana mikono wala kukumbatiana wakati wa kusalimiana kama ilivyo jadi yetu. Wanasiasa wakalibeba hili mzobe mzobe. Mengine yote sidhani kama yamepewa kipaumbele.
Waziri katangaza kila mkoa utenge maeneo maalum ya kuchunguza wenye dalili na viashiria vya huu ugonjwa.
Je, hili limetekelezwa?
Je, kuna vifaa ya kutosha kwenye hili?
Je, bajeti imetoka wapi?
Je, kuna wahudumu wa dharura wenye uelewa na huu ugonjwa wameandaliwa?
Je, sahihi ni kutenga vituo kila mkoa ama kila wilaya?
Je, mpaka sasa ni mikoa mingapi imelitekeleza hili?
Je, kuna changamoto yoyote?
Je, kuna kipindi maalum kwenye vyombo vya habari kutoa mapya ya kila siku kuhusiana na huu ugonjwa?
Hakika maswali ni mengi sana. Lakini nilichokiona kwenye huu ugonjwa ni mizaha na kukosa umakini. Hatuna takwimu rasmi zozote mpaka sasa za chochote kuhusiana na huu ugonjwa. Hatujaona umakini wowote kwenye maandalizi ya dharura. Chukulia mfano mkoa wa Pwani kutoka Mkuranga mpaka Bagamoyo utenge kituo kimoja tu cha ukaguzi wa corona, inawezekana kweli!?
Kinachopigiwa chepuo sasa ni kusalimiana bila kushikana mikono, eti kugongesha miguu. Mmh! Tumeiona kwa viongozi, lakini nyie msioshikana mikono sasa si mlikaa chumba kimoja kwa madakika mengi tu? Je, mlitumia viziba midomo na pua?
Hivi kwani corona ni ugonjwa wa ngozi? Iweje wachezaji uwanjani wazuiwe kusalimiana kwa kushikana mikono eti ni mojawapo ya kampeni ya kupambana na corona wakati huo huo wachezaji haohao watakuwa pamoja uwanjani kwa dakika 90+ wakishikana, wakivutana, wakiangukiana wakipumuliana? Vipi na wale mashabiki watazamani kwa maelfu walio majukwaani? Tuna abiria kwa maelfu wanasongana kwenye vyombo vya usafiri. Kwenye masoko. Kila mahali.
Bado hatuko serious na mizaha ndio imetawala kupitia siasa. Mungu pekee ndio anatubeba. Kitengo cha dharura kitaifa hakijasema chochote. Kipo kimya kabisa. Vyombo vyetu vya habari ni siasa na wanasiasa mwanzo mwisho. Viziba pua na midomo vimepanda bei maradufu. Box lilikokuwa linauzwa elfu 10 piece 50 sasa hivi linauzwa elfu 40 na hapo ugonjwa haujachanganya. Ukithibitika upo nchini na tukatakiwa kutumia hivyo vifaa tutafanyaje?
Jr![]()
Watanzania katika Ubora wao. Hawana jema. Badala ya malawama mtandaoni andika hata Paragraph moja ya kuelimisha.
Unadhani ugonjwa huu Serikali ndo yenye majibu yote. Ni mapambano ya nyumba kwa nyumba. Information ulizopata toka Serikalini Ni hatua Kubwa pia. Awareness ni jukumu letu sote. Ndo tukumbushane. Mjifunze kuwa Part Solution. Consumers wa hapa sio Serikali, nini sisi.
Ulaya Sasa tumeombwa kubaki Ndani. Je wewe utakubali. OSHA mikono nk. Ukipata dalili sio utoke uende Hospital. NO. piga simu. Waje wakupime hapo ulipo. Hata huyu mwanamke aliyejitenga kakosea sana kwenda mwenyewe Hospital. Ila yameshatokea. Tusaidiane mambo haya madogo Madogo. Hizo maski hazina uhakika wa kusaidia mapambano. Kubaki nyumbani Ni Option bora. Akitoka baba au mama Basi awe mwangalifu.
Tuelimishe sio kuleta mbwembwe. Do your part.
Sent using Jamii Forums mobile app

Alisema lini na kwanini alisema hivyo!??Bill gate alisema huu ugonjwa utakuja kuua billions of people in Africa
halafu kibaya zaid kumbe hata maabara ni mpk kipimo kije Dar mbona mwanzo kulikuwa na majibu mepesi sana kwa washukiwa wasiwasi wangu waathirika wanaweza kuwa wengi maana huyu mama kama kajitambua tu ila angeamua kujichanganya mtaani kama wanavyofanya wachina hakuna wa kujua


Siasa imezidi hata kwenye vitu vyenye kuwa siriaz
Tulipokuwa atufungi mipaka nikajua tumejikamilisha kwa kila kitu . Sasa Sampuli ya virusi wanaenda kupima Dsm what a joke? We are not siliasi kabisa yani. Sampuli itoke Mbeya iende Dsm , Mwanza iende Dsm. Inasikitisha sana . Siasa na Madaraka vinatutesa sana.