Updates za Corona Tanzania

Updates za Corona Tanzania

Mtanisamehe nina la kuwahoji mnaosema Mungu anatulinda!
Mi naona kama hamna akili mnaosema hivyo!!
Kwani nyinyi mnalindwa ila waliopo china hawalindwi!!! Okay Hivyo Mungu wenu ni mbaguzi Kuna mahali analinda watu Kuna mahali anawaacha wafe!!!

Hivi Afrika kuwaza huwa mnatumia Nini..?
Hata Kama hakuna korona haimaanishi hakuna matatizo mengine mbona yapo mengi tu! Na wengine wanaona Bora kufa kuliko kuliko kuishi!!

Acheni upuuzi huyo MUNGU hana la kufanya juu ya matatizo yetu,moja Kati ya kosa ni kumtegemea Mungu akutatulie matatizo wakati vitabu vyake vimeandikwa Mungu ndo muumba wa kila kitu means na matatizo kayaleta yeye tupambaneni wenyewe hakuna kitakacho kutetea usife isipokuwa sisi wenyewe na kufa ni lazima isipokuwa ni muda tu
Naona zile bangi ulizovuta kipindi kile zinaanza kukusumbua tena... Kuna ubaya gani mtu KUAMINI usichoamini wewe?

Jr
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa huu ugonjwa itaficha wala haitatangaza!
Aga Khan wakasema kuna mtu mwenye asili ya China alikuwa na viashiria na wao wakatoa taarifa sijui wizara ya Afya sijui kwa mkemia mkuu ila hiyo idara ya seriakali ikamchukua mshukiwa kwa vipimo zaidi na hatimaye hiyo idara ikatangaza kuwa huyo hkukutwa na ugonjwa!
 
Naona zile bangi ulizovuta kipindi kile zinaanza kukusumbua tena... Kuna ubaya gani mtu KUAMINI usichoamini wewe?

Jr
😂😂
Subiri na wewe tarehe nane kitafahamika kwa utabiri wako utaukimbia uzi wako ule😜

Tatizo sio kuamini Sasa kuamini ndo kusema Mungu anakulinda wewe huku wengine wakiumia hiyo ni akili..? Ukiona mwezako ananyolewa za kwako tia maji!!
Mtoeni Mungu kwenye hili hana la kuwasaidia isipokuwa sisi wenyewe..
Huwezi kusema huku ati hakuna ubaya upo na matatizo yapo sijaona anapolinda mbona!! Ni upuuzi kuamini Mungu anatulinda halafu unaitaka serikali ichukue hatua! Si wamuachie Mungu alinde! Kaeni mkijua binadamu atapambana kwa mikono yake mwenyewe hakuna Cha uungu wala nini na huo ndio uhalisia labda uwe na upeo mdogo ndio hautaona! Hakuna Cha nguvu ya Mungu wala nini tuacheni porojo maisha ni halisi.
 
Huu ugonjwa ulishapita nchini November December na January and population sasa iko immune. Yale mafua hatari wengi walihisi ni malaria fulani, ukienda hospitali hamna kitu kwa kuwa hatuna vipimo vya hawa virusi katika zahanati zetu. Mungu tu anasaidia.

Aliye nacho huongezewa na acha waongezewe. Sijui ikiwa hili tukio afya walieleza ilikuwa nini zaidi ya kusema stay hydrated. Kila kitu kiliuma vibaya hadi mifupa na kukosa nguvu kabisa. Una-sweat hadi hujawahi ona na hadi maumivu makali sehemu za kiuno na uti wa mgongo, kikohozi, ukiacha koo kuwasha na homa kali ssana inayodumu kwa siku tatu na kisha inaishia zake unarudia kazi.

Unajisikia kufa kufa. Kwa aliyeugua pia kipindi hiki ajieleze alivyojisikia haya mafua yalikuwa hatari na afya walikaa kimya nafikiri. Ingekuwa una kitu kama diabetes unapita kwa ile dehydration na homa kali balaa.

Waafrika nafikiri wana kinga ya mafua mengi linapokuja jambo la virusi vya mafua na pengine hata hii CORONA. Nawaza na kuunganisha dots tu.
 
Eti Koffi tickets sold out
Wakati wenzetu mpaka movie mpya ya James Bond wameahirisha
Kipindupindu kazi itakuwa hii

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huu ugonjwa ulishapita nchini November December na January and population sasa iko immune. Yale mafua hatari wengi walihisi ni malaria fulani, ukienda hospitali hamna kitu kwa kuwa hatuna vipimo vya hawa virusi katika zahanati zetu. Mungu tu anasaidia. Aliye nacho huongezewa na acha waongezewe. Sijui ikiwa hili tukio afya walieleza ilikuwa nini zaidi ya kusema stay hydrated. Kila kitu kiliuma vibaya hadi mifupa na kukosa nguvu kabisa. Una-sweat hadi hujawahi ona na hadi maumivu makali sehemu za kiuno na uti wa mgongo, kikohozi, ukiacha koo kuwasha na homa kali ssana inayodumu kwa siku tatu na kisha inaishia zake unarudia kazi. Unajisikia kufa kufa. Kwa aliyeugua pia kipindi hiki ajieleze alivyojisikia haya mafua yalikuwa hatari na afya walikaa kimya nafikiri. Ingekuwa una kitu kama diabetes unapita kwa ile dehydration na homa kali balaa. Waafrika nafikiri wana kinga ya mafua mengi linapokuja jambo la virusi vya mafua na pengine hata hii CORONA. Nawaza na kuunganisha dots tu.
Hii ni kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri na wewe tarehe nane kitafahamika kwa utabiri wako utaukimbia uzi wako ule

Tatizo sio kuamini Sasa kuamini ndo kusema Mungu anakulinda wewe huku wengine wakiumia hiyo ni akili..? Ukiona mwezako ananyolewa za kwako tia maji!!
Mtoeni Mungu kwenye hili hana la kuwasaidia isipokuwa sisi wenyewe..
Huwezi kusema huku ati hakuna ubaya upo na matatizo yapo sijaona anapolinda mbona!! Ni upuuzi kuamini Mungu anatulinda halafu unaitaka serikali ichukue hatua! Si wamuachie Mungu alinde! Kaeni mkijua binadamu atapambana kwa mikono yake mwenyewe hakuna Cha uungu wala nini na huo ndio uhalisia labda uwe na upeo mdogo ndio hautaona! Hakuna Cha nguvu ya Mungu wala nini tuacheni porojo maisha ni halisi.
mmea una uwezo wa ajabu wa kutupa confidence kubwa kabisa hata tunaweza kuaminishana hakuna bahari bali kuna nchi kavu tu

Jr
 
mmea una uwezo wa ajabu wa kutupa confidence kubwa kabisa hata tunaweza kuaminishana hakuna bahari bali kuna nchi kavu tu

Jr
Chenga zako zimeelekea kwenye mmea! Vipi unaompango wa kuilima nini maana hata nikisema chochote utasema ni mmea!! Hata Mimi naona umeula mmea tusubiri korona itukorone hakuna namna😜😂
 
Natambua umahiri wetu wa kuvifanya vitu serious kuwa mizaha. Natambua ujuzi wetu wa kuyageuza majanga kuwa manufaa ya kisiasa.

Hivi ni kipi kikubwa tumekifanya kama taifa cha serious kujikinga na hili gonjwa linalotaka kuwa janga la dunia?

Nimemsikia Waziri wa Afya akikutangazia umuhimu wa kutoshikana mikono wala kukumbatiana wakati wa kusalimiana kama ilivyo jadi yetu. Wanasiasa wakalibeba hili mzobe mzobe. Mengine yote sidhani kama yamepewa kipaumbele.

Waziri katangaza kila mkoa utenge maeneo maalum ya kuchunguza wenye dalili na viashiria vya huu ugonjwa.

Je, hili limetekelezwa?
Je, kuna vifaa ya kutosha kwenye hili?
Je, bajeti imetoka wapi?
Je, kuna wahudumu wa dharura wenye uelewa na huu ugonjwa wameandaliwa?
Je, sahihi ni kutenga vituo kila mkoa ama kila wilaya?
Je, mpaka sasa ni mikoa mingapi imelitekeleza hili?
Je, kuna changamoto yoyote?
Je, kuna kipindi maalum kwenye vyombo vya habari kutoa mapya ya kila siku kuhusiana na huu ugonjwa?

Hakika maswali ni mengi sana. Lakini nilichokiona kwenye huu ugonjwa ni mizaha na kukosa umakini. Hatuna takwimu rasmi zozote mpaka sasa za chochote kuhusiana na huu ugonjwa. Hatujaona umakini wowote kwenye maandalizi ya dharura. Chukulia mfano mkoa wa Pwani kutoka Mkuranga mpaka Bagamoyo utenge kituo kimoja tu cha ukaguzi wa corona, inawezekana kweli!?

Kinachopigiwa chepuo sasa ni kusalimiana bila kushikana mikono, eti kugongesha miguu. Mmh! Tumeiona kwa viongozi, lakini nyie msioshikana mikono sasa si mlikaa chumba kimoja kwa madakika mengi tu? Je, mlitumia viziba midomo na pua?

Hivi kwani corona ni ugonjwa wa ngozi? Iweje wachezaji uwanjani wazuiwe kusalimiana kwa kushikana mikono eti ni mojawapo ya kampeni ya kupambana na corona wakati huo huo wachezaji haohao watakuwa pamoja uwanjani kwa dakika 90+ wakishikana, wakivutana, wakiangukiana wakipumuliana? Vipi na wale mashabiki watazamani kwa maelfu walio majukwaani? Tuna abiria kwa maelfu wanasongana kwenye vyombo vya usafiri. Kwenye masoko. Kila mahali.

Bado hatuko serious na mizaha ndio imetawala kupitia siasa. Mungu pekee ndio anatubeba. Kitengo cha dharura kitaifa hakijasema chochote. Kipo kimya kabisa. Vyombo vyetu vya habari ni siasa na wanasiasa mwanzo mwisho. Viziba pua na midomo vimepanda bei maradufu. Box lilikokuwa linauzwa elfu 10 piece 50 sasa hivi linauzwa elfu 40 na hapo ugonjwa haujachanganya. Ukithibitika upo nchini na tukatakiwa kutumia hivyo vifaa tutafanyaje?

Jr

Very nice Observation.

So far the government has taken everything into consideration.

It has established 6 Corona Management Centers in those areas at risk.

In view of the above, three centers are located in Dar does namely ; Temeke, ilala and Kinondoni.

Two Centers In Kilimanjaro and One In Zanzibar. The government plans to increase number of Corona Management Centers in others areas across the borders.

Also. The Ministry of Health has instructed Medical Stores Department ( MSD) to ensure availability of N95 Face Mask , Hand Sanitizers and all essential medicines at acceptable quality and affordable price necessary for preventing the spread COVID-19.

The Question as to why we are not advised to shake our hands; this was taken as a matter of Preventative Measures, it should not be taken literally. It does not prevent from contacting the Virus.

The Chinese Medical Professional are wearing all protective gears including Personal Protective Equipments ( PPEs) yet are infected.

You can be sure that Not shaking hands is just Bull Shit but always let’s take things positively.
View attachment 1391054
 
Na sie kanisani tumeambiwa tusipeane amani ya Bwana kisa Corona
I was like tumejazana kanisani kwenye bench watu Saba tunapumuliana si Corona nje nje

Sijui kwanini professiona doctors wasitoe elimu kuhusu Corona
Yani unazuia kupeana mikono Wakati tunajazana kwenye daladala☹️
 
Natambua umahiri wetu wa kuvifanya vitu serious kuwa mizaha. Natambua ujuzi wetu wa kuyageuza majanga kuwa manufaa ya kisiasa.

Hivi ni kipi kikubwa tumekifanya kama taifa cha serious kujikinga na hili gonjwa linalotaka kuwa janga la dunia?

Nimemsikia Waziri wa Afya akikutangazia umuhimu wa kutoshikana mikono wala kukumbatiana wakati wa kusalimiana kama ilivyo jadi yetu. Wanasiasa wakalibeba hili mzobe mzobe. Mengine yote sidhani kama yamepewa kipaumbele.

Waziri katangaza kila mkoa utenge maeneo maalum ya kuchunguza wenye dalili na viashiria vya huu ugonjwa.

Je, hili limetekelezwa?
Je, kuna vifaa ya kutosha kwenye hili?
Je, bajeti imetoka wapi?
Je, kuna wahudumu wa dharura wenye uelewa na huu ugonjwa wameandaliwa?
Je, sahihi ni kutenga vituo kila mkoa ama kila wilaya?
Je, mpaka sasa ni mikoa mingapi imelitekeleza hili?
Je, kuna changamoto yoyote?
Je, kuna kipindi maalum kwenye vyombo vya habari kutoa mapya ya kila siku kuhusiana na huu ugonjwa?

Hakika maswali ni mengi sana. Lakini nilichokiona kwenye huu ugonjwa ni mizaha na kukosa umakini. Hatuna takwimu rasmi zozote mpaka sasa za chochote kuhusiana na huu ugonjwa. Hatujaona umakini wowote kwenye maandalizi ya dharura. Chukulia mfano mkoa wa Pwani kutoka Mkuranga mpaka Bagamoyo utenge kituo kimoja tu cha ukaguzi wa corona, inawezekana kweli!?

Kinachopigiwa chepuo sasa ni kusalimiana bila kushikana mikono, eti kugongesha miguu. Mmh! Tumeiona kwa viongozi, lakini nyie msioshikana mikono sasa si mlikaa chumba kimoja kwa madakika mengi tu? Je, mlitumia viziba midomo na pua?

Hivi kwani corona ni ugonjwa wa ngozi? Iweje wachezaji uwanjani wazuiwe kusalimiana kwa kushikana mikono eti ni mojawapo ya kampeni ya kupambana na corona wakati huo huo wachezaji haohao watakuwa pamoja uwanjani kwa dakika 90+ wakishikana, wakivutana, wakiangukiana wakipumuliana? Vipi na wale mashabiki watazamani kwa maelfu walio majukwaani? Tuna abiria kwa maelfu wanasongana kwenye vyombo vya usafiri. Kwenye masoko. Kila mahali.

Bado hatuko serious na mizaha ndio imetawala kupitia siasa. Mungu pekee ndio anatubeba. Kitengo cha dharura kitaifa hakijasema chochote. Kipo kimya kabisa. Vyombo vyetu vya habari ni siasa na wanasiasa mwanzo mwisho. Viziba pua na midomo vimepanda bei maradufu. Box lilikokuwa linauzwa elfu 10 piece 50 sasa hivi linauzwa elfu 40 na hapo ugonjwa haujachanganya. Ukithibitika upo nchini na tukatakiwa kutumia hivyo vifaa tutafanyaje?

Jr

Viongozi wetu ni viumbe wa ajabu sana. Dunia nzima wanawaza jinsi gani wataukabili huu ugonjwa, wao wanapanga njama jinsi ya kuwakosesha nafasi za ubunge wapinzani as if baada ya hapo nchi hii itakuwa immune from pandemics!
 
Back
Top Bottom