Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Sisi tuna point46,magori 50 ya kufunga na13 ya kufungwa,wao wana point50,magori 43ya kufunga na 13 ya kufungwa!
 
Pamoja na kuwa Mimi ni shabiki wa yanga, lakini nawaombea Azam wachukue kombe watuwakilishe kwenye kombe la mabingwa
 
unamkuta kijana mdogo anashabikia simba au yanga.
hz tim nimekuwa naziona na sikuzipenda kwan n timu zinazoendeshwa kwa mazoea.
kiufupi zimedumaa kimaendeleo.
karibun AZAM FC new force in the biz.
mwendo mdundo.
na yanga subiri kikwete atoke ndo mtakubari.
AZAM FC 'New Force In The Business'
 
Pamoja na kuwa Mimi ni shabiki wa yanga, lakini nawaombea Azam wachukue kombe watuwakilishe kwenye kombe la mabingwa

Ombi lako lisifike huko mbinguni, Yanga tunataka ubingwa wa 25 tusherehekee Jubilei ya miaka 25 ya ubingwa Tanzania huku Mambumbumbu wakibaki na miaka yao 18.
 
unamkuta kijana mdogo anashabikia simba au yanga.
hz tim nimekuwa naziona na sikuzipenda kwan n timu zinazoendeshwa kwa mazoea.
kiufupi zimedumaa kimaendeleo.
karibun AZAM FC new force in the biz.
mwendo mdundo.
na yanga subiri kikwete atoke ndo mtakubari.
AZAM FC 'New Force In The Business'

Nina mashaka na elimu yako; period.
 
unamkuta kijana mdogo anashabikia simba au yanga.
hz tim nimekuwa naziona na sikuzipenda kwan n timu zinazoendeshwa kwa mazoea.
kiufupi zimedumaa kimaendeleo.
karibun AZAM FC new force in the biz.
mwendo mdundo.
na yanga subiri kikwete atoke ndo mtakubari.
AZAM FC 'New Force In The Business'

maneno toka kwa FAKEnology haya!
 
Jumatano ya leo kwangu ni furaha tupu baada ya yanga kuibomoa vilivyo prisons. Yanga haooooo kuelekea ubingwa.
 
Jumatano ya leo kwangu ni furaha tupu baada ya yanga kuibomoa vilivyo prisons. Yanga haooooo kuelekea ubingwa.

Nakumbuka Yanga iliitwanga 5-1 Ashanti, ikailima 7-0 Komorozine, Ruvu Shooting nao walikula 7-0, leo tena 5-0 kwa Prisons. Ole kwa timu itakayofunga pazia la ligi na Yanga itapigwa zaidi ya 5-0. Mwenye masikio ya kusikilia na asikie.
 
Mshindi huwa hapatikani isipokuwa mwisho wa mashindano, hadi mwisho mtashuka tu hadi kwenye nafasi yenu mliyoizoea.

acha uongo munchen katwaa ndoo hata mashindano hayajaisha, unachosema wewe kipo kwenye tournament pekee lakini sio ligi
 
Back
Top Bottom