Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Kanavarooooo 4-0
dk 80 mgambo 0 - 1 azam
Yanga 4-0 Prisons.
Azam wameongeza la pilinaona wazee wa ndala hawapendi kusikia haya matokeo.
Manji kafanya mambo kitu cha bahasha kimetembezwa hapo si bure
Azam wameongeza la pili
dk 80 mgambo 0 - 1 azam
Nasikia mmeongeza jingine,ama kweli AZAM wameamua kuharibu ligi yetu,yani mnanunua mechi mchana kweupeeee lol!
msimu huu raha sana..
Nasikia mmeongeza jingine,ama kweli AZAM wameamua kuharibu ligi yetu,yani mnanunua mechi mchana kweupeeee lol!
msimu huu tukiifunga na simba lazima tuwe mabingwa kwa kuwa misimu mingine huwa tunafungwa na kuishia namba 2..
Mbona unasema Azam tu kwamba kanunua mechi na yanga hajanunua ?