Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
dk 45, kipindi cha2: zimeongezwa dk 2
Yanga 2-1 Ashanti
 
Mimi sitashangaa matokeo ya sare Yanga v Ashanti au hata Yanga kufungwa.

Wanayanga wenzangu lazima tukubaliane kuwa kitendo cha uongozi kufumua benchi la ufundi bila ya sababu yoyote ya msingi haya ndiyo malipo yake.

Utamtimuaje kocha aliyetupa ubingwa, kocha aliyeiweka timu kileleni mzunguko wa kwanza na kocha ambaye alikuwa ameifanya Yanga hatimaye ianze kucheza mpira wake ule wa miaka ile wa kitabuni kama Barcelona??

Unspeakable stupidity and shortsightedness!!!
 
Full Time: mpira umekwishwa Uwanja wa Taifa.
Yanga 2-1 Ashanti.
 
Kaka hebu tujuze, eti yule mzee wa ku-sub timu nzima wa mikia alikwenda kuichungulia ya Uturuki?
 
Yatasemwa mengi......Matusi, kejeli, kuponda, uzushi na kila aina ya unaa.....

Ukweli utabaki pale pale kwamba Yanga kashinda leo na bado anaongoza ligi........Mengine ni porojo tu za jamvini...

Yanga: Daima Mbele, Nyuma mwiko....

Pointi tatu swaafi, na bado tupo kileleni mwa Msimamo wa Ligi....
 
Punguza jazba mmeshinda.
 
Haya Kibadeni ajiuzulu,kabla ya mechi nilimshauri ni bora astaafu.Alivyoambulia sare siku ile alishangilia sana
 

Kufukuza kosa sio tatizo ,tatizo haukuwa wakati muafaka kumfukuza kocha katikati ya ligi.Wangemfukuza kabla ya ligi au mwisho wa msimu
 

Kweli you are short-sighted!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tchao!!!!!!!
 

Hujui ulisemalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…