kwasababu ndiyo mbigwa mtetezi na ndiyo inayoongo ligi ikiwa na pointi 27 ikifatiwa na yanga..hata hivyo mimi ni zaidi ya mshabiki wa sscMbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba??
Hongera sana tupo pamoja hivi ni kweli mohamed dewji amerudi kuwa mdhamini wa simba?kwasababu ndiyo mbigwa mtetezi na ndiyo inayoongo ligi ikiwa na pointi 27 ikifatiwa na yanga..hata hivyo mimi ni zaidi ya mshabiki wa ssc
Sina uhakika ngoja ivuga aje atakumwangia dataHongera sana tupo pamoja hivi ni kweli mohamed dewji amerudi kuwa mdhamini wa simba?
Mbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba??