CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
ingawa naichukia yanga lakini si kwa kushindwa kutangaza magoli yake tatizo ni mgao wa umeme....na nilijua yanga itashinda zaidi ya goli tano angalia hapo juu...AFC ni timu yangu lakini inacheza kama timu ya daraja la nne....pengine yanga kama wange kuwa vizuri nje na ndani ya uwanja mimi na kwambia ungeshanga magoli ambayo AFC ingefungwa...
Hapa unakosea ndugu, Kwanini uichukie Yanga?? Walikuibia mke?? Yanga na Simba sio maadui, ni watani wa jadi, kuchukia timu pinzani sio ushabiki wa kweli ktk soka. Badilika