Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Haya mkuu, hivi si ndio wewe ulikuja na tule tutakwimu twako twa yanga na mnyama kabla ya ile mechi??
Simba bingwa, kama hutaki basi!!
soka sio sawa na chaguzi za TZ mkuu...
Hayo mambo ya iwe isiwe yapo CCM