mpaka mwisho wa mchezo yanga 6 na afc 1
Na huko manungu Mtibwa 1 na Polisi Tanzania 0
ingawa naichukia yanga lakini si kwa kushindwa kutangaza magoli yake tatizo ni mgao wa umeme....na nilijua yanga itashinda zaidi ya goli tano angalia hapo juu...AFC ni timu yangu lakini inacheza kama timu ya daraja la nne....pengine yanga kama wange kuwa vizuri nje na ndani ya uwanja mimi na kwambia ungeshanga magoli ambayo AFC ingefungwa...Naona "ulifukia" kutangaza magoli mengine ya Yanga teh teh teh
Naona "ulifukia" kutangaza magoli mengine ya Yanga teh teh teh
Ivunga bwana! Heheheheh nadhani na wewe unatamani Simba wafunge mtu 6 . . . .teh teh teh. Anyway kuanzia mechi za wabrazil, mapinduzi cup kurudi nyuma kote huko Crashwise hakutangaza kabisa magoli, so siwezi kumuuliza chochote.walipocheza na kile kitimu cha brazili?