Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Azam nao wanakuja kasi, angalieni jamaa wasiwashike maana mpira hauna adabu.

kanilivosema mpira ni ushetani naona umeamini hilo na hawa wamesawazisha baada ya zitto kutweet anaisapoti mgambojkt..
 
Pole kwa ban, kisa yanga au kule kwenye siasa?

mkuu Katavi utafikiri na wewe ulishiriki kunipa ban,ulijuaje kama kwenye jukwaa la siasa ndo nilipatiwa ban?
kuna lijamaa la CCM nililitukana kwa kauli zake za kijingakijinga
 
Naona vibonde mmetoa droo na Mgambo. Mjiandae kupata kichapo cha mbwa mwizi kwa Simba Mtoto
 
oooh bartez hajawihi kufungwa oohhh sijui nini haya na hilo nini sasa mugambo wameruka na kuwakanyaga safi sana..
 
mkuu Katavi utafikiri na wewe ulishiriki kunipa ban,ulijuaje kama kwenye jukwaa la siasa ndo nilipatiwa ban?
kuna lijamaa la CCM nililitukana kwa kauli zake za kijingakijinga
Hahahaah! Pole sana, jukwaa la siasa ni danger zone unatakiwa ujitoe mhanga.
 
swali toka ligi kuu msimu huu umeanza yanga ajashinda gemu nje ya dar sijui wananunua hizi gemu wakiwa dar sijui mashabiki sijui marefa wa dar sijui nini tu.. Makoye Matale watu8 Fidel80
 
Last edited by a moderator:
Hahahaah! Pole sana, jukwaa la siasa ni danger zone unatakiwa ujitoe mhanga.

sirudii kupost wala kutoa comments jukwaa la siasa,nitakuwa msomaji tu basi,wale jamaa kule hawafai kabisa mana waweza kukufuata hata unapoishi na kukung'oa meno,macho na kucha kwa kutumia koleo
 
...so if things end this way, there will be a point difference of 5...mnyama akiwatungua tofauti ya pointi 2 na Azam..Duh!

Mkuu uko sahihi lakini kumbuka kuwa mechi ya Simba iko mwisho, hadi tunacheza naye tayari tutakuwa tumebeba ubingwa. Hao Azam walie tu.
 
Yanga kabakiza mechi 3 na zote atachezea nyumbani,ni dhidi ya Coast Union,Ruvu Shooting na wakalia LIBOLO FC(Simba)
tunahitaji point 4 tu kutangaza ubingwa
 
sirudii kupost wala kutoa comments jukwaa la siasa,nitakuwa msomaji tu basi,wale jamaa kule hawafai kabisa mana waweza kukufuata hata unapoishi na kukung'oa meno,macho na kucha kwa kutumia koleo

Mkuu tuko wote, mie nimebaki na Sports tu, kwa kweli napata raha sana kwenye jukwaa hili. Jukwaa la siasa na kwingineko ni maudhi tupu.
 
Masahihisho:
Ni Ruvu JKT siyo Ruvu Shooting.

nashukuru mkuu kwa masahihisho hizi timu mbili za Ruvu Ruvu huwa zinanichanganya sana,hili jukwaa la michezo ni la kistaarabu sana,ningekuwa jukwaa la siasa people zinge report post yangu ili nipewe ban kwa kukosea kuandika
 
Back
Top Bottom