Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dakika ya 75, Mgambo Shooting 1 - 0 Young Africans
Mgambo 1-1 Yanga
Dakika ya 75, Mgambo Shooting 1 - 0 Young Africans
Apaaa.....hiiii......:yo::yo:
mupira bana...ah!Dakika ya 87, Saimon Msuva anaipatia Young Africans bao la kusawazisha Mgambo Shooting 1 - 1 Young Africans
:msela: dakika 3 zimeongezwa
mkuu kumbe upo aisee...
Azam nao wanakuja kasi, angalieni jamaa wasiwashike maana mpira hauna adabu.bora mpira uishe
mkuu nipo sana tu,nilikuwa nimepewa ban ya kufa mtu,sasa kifungo kimeisha
Pole kwa ban, kisa yanga au kule kwenye siasa?mkuu nipo sana tu,nilikuwa nimepewa ban ya kufa mtu,sasa kifungo kimeisha
Ati yanga itatema ubingwa!Kuhusu nini?
safi sana yanga
mie Simba damu mkuu, nawapongeza kwa kutoa droooaiseee kumbe ni wengi balaa mlikuwa mnajifichia nini sasa..
Mpira umemalizika, Mgambo Shooting 1 - 1 Young Africans Msuva dkk 87