Ndo namskia leo, hapa nilipo sina raha mkuu, kweli sisi ni wa kufungwa na moro united goli tatu du kweli mpira hauna adabu.
Simba tumepata goli la pili na tatu hapo hapo.
Ukweli mkuu, la pili kafunga Kago la tatu Machaku.Ya ukweli hayo?
Ukweli mkuu, la pili kafunga Kago la tatu Machaku.
Ukweli mkuu, la pili kafunga Kago la tatu Machaku.
Nafuu, manake tumebana naniliu hadi zinauma sasa!
we ako kamchezo bado kanatumika!!!!
we ako kamchezo bado kanatumika!!!!
Mkuu tunajaribu na mambo ya asili, kufungwa kubaya ati!
Mkuu tunajaribu na mambo ya asili, kufungwa kubaya ati!
hapo kazi ipombona hukufanya juzi kati yebo yebo