Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
sijui Simba watasingizia nini: Yondani na Basena hawapo, Okwi haonekani, Costa nje, Kazimoto,Mafisango, Bobani na Machaku wameanza tangu dk ya kwanza na Matokeo ni 3 kwa Moro U na 1 kwa Simba.

nashukru simba tumemaliza tukiwa juu mwa msimamo wa ligi lakini simba inamatatizo..haichezi kitimu kila mtulwake..tukajipange
 
Hivi ni nini kifanyike: ili kipindi cha pili Simba wasawazishe magoli yote na wafunge goli la ushindi?????
 
Simba yetu ina tatizo la beki, Shomari Kapombe anacheza namba mbili, tunajua Cholo ni mgonjwa kwa nini asicheze Salum Kanoni namba mbili?

nami nashangaa sijui kwanini Salumu Kanoni achezeshwi.
 
Hivi ni nini kifanyike: ili kipindi cha pili Simba wasawazishe magoli yote na wafunge goli la ushindi?????
Mkuu unajua timu inaposhinda huwezi kuona makosa, cha ajabu hata Jabu tulitaka kumwacha sasa Amir ni majeruhi muda mrefu sijui hali ingekuwaje bila Jabu, naamini beki wakijipanga vizuri tunaweza kushinda hii mechi.
 
Jonas Gerad na Gervas Kago wameingia kwa upande wa Simba: wakati huohuo Yanga 1-0 P.Dodoma
 
Mkuu unajua timu inaposhinda huwezi kuona makosa, cha ajabu hata Jabu tulitaka kumwacha sasa Amir ni majeruhi muda mrefu sijui hali ingekuwaje bila Jabu, naamini beki wakijipanga vizuri tunaweza kushinda hii mechi.

duh! inanipa wasiwasi, huyu Jonas Gerad historia yake ikoje kiuzoefu!! au ameingia tu kusogeza dk tu.
 
duh! inanipa wasiwasi, huyu Jonas Gerad historia yake ikoje kiuzoefu!! au ameingia tu kusogeza dk tu.
Ndo namskia leo, hapa nilipo sina raha mkuu, kweli sisi ni wa kufungwa na moro united goli tatu du kweli mpira hauna adabu.
 
Simsikii Jerry Santo, huyu mkenya huwa anatuliza sana mashambulizi ya timu pinzani, mliosikia toka mwanzo hebu naombeni line up ya simba.
 
Back
Top Bottom