Maswalala, maneno yako hata kwenye khanga yapo: SIMBA 2-JKT Ruvu 0 dk ya 55.
Mpira umekwisha.
Bado YEBO YEBO....prN hongeren kwa ushindi lakini kumbukeni safari bado ni ndefu coz hi ndo kwanza raundi ya kwanza tu co msiwe na mihemuko ka vile ndo msha kuwa mabingwa
Safari bado ni ndefu kweli lakini ukitangulia kuna raha yake. Tumepiga wanajeshi wote bado wanasiasa.prN hongeren kwa ushindi lakini kumbukeni safari bado ni ndefu coz hi ndo kwanza raundi ya kwanza tu co msiwe na mihemuko ka vile ndo msha kuwa mabingwa
Safari bado ni ndefu kweli lakini ukitangulia kuna raha yake. Tumepiga wanajeshi wote bado wanasiasa.
Bado bila bila.Yanga vipi wadau...
Dakika ya 40 sasa....
Yanga 0:0 JKT Oljoro
Tunawashambulia sana mkuu.....Tumewakosakosa sana dakika 10 za mwishommmh!! Jamaa wamekomaa
yeboyebo wamekomaliwa hadi raha,man u kule washapigwa tatu bila hadi sasa kwao old traford!
mtani nakusubiri tarehe 29....Half Time sasa..
Yanga 0:0 JKT Oljoro
Leo manu wameshikwa ....teh tehman c na man u 3-1 dk ya 80