yanga wanalo hilo, nafasi yao ni 4mpaka sasa Azam FC 2 na Polisi Dom 0..

bado kidogo mkuu,nipo uwanjani leo,nitawa update!
vp vitoeo,mtatoka leo?maana baba mwenye nyumba *anakuja kwa kasi ya ajabu nyuma yenu,baada ya kuwatanguliza mke na watoto mbele

Tujaalie wafungaji wa magoli ati....Maswalala, maneno yako hata kwenye khanga yapo: SIMBA 2-JKT Ruvu 0 dk ya 55.
Tujaalie wafungaji wa magoli ati....