FULL TIME: Manchester United 1-6 Manchester City
sasa turudi bongo
Vipi yanga na oljoro matokeo,tupeni matokeo wadau,man united bundi kafia kwao leo.
Ong'wise Balatanda siku hiyo utawajua tu na Beki zenu za kina Bakari Mbegu na Taita, ombeni Mungu Marwa Chacha arudi, sipati picha nne acheze Mbegu na Sita acheze Kijiko siku hiyo itakuwa ni kujilia pweza.Mimi namjua Asamoah tu.......Fikiria Asamoah anapata pande la Rashid Gumbo 'Fundi' kutoka kona ya kushoto,anajitwika kichwa kinaenda upande wa kulia wa goli Kaseja anaenda kushoto........Gooooooooooooooooooooooooal..........Yanga 1:0 Simba.......................Kamoja tuuu....
Bado milango migumu.........matokeo yako vp hadi sasa!
MKUU umewachakachua AZAM, wanapoints 21mtani nakusubiri tarehe 29....
MKUU umewachakachua AZAM, wanapoints 21
Asante kwa kujulisha tushilikiane koboresha jukwaa hiliMKUU umewachakachua AZAM, wanapoints 21
Nimeliangalia GAME mwanzo mwisho, si unaona signature yangu hapo choni, Tumepiga nyingi sana.unafuatilia hii mechi? Dk ya ngap plz,nduguzo man u wamepgwa 6 leo,
hamis kiza, najua ulikuwa unataka kusikia toka kwetuJamani tupeni jina la mfungaji wa gol