Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
kwa hiyo hayo mambo yj soka unayomaanisha ni yale ya TP mazembe 6-3, wale wamorocco 3-0 within 3 minuts, na wale motema pembe 2-0 kama ndo hayo mafanikio unayomaanisha hongera sana kweli nyie nje ndo kwenu
unazuga tu kila kitu unakijua
 
umewasahau wale waigiza filam wa nigeria akina 'IGWE'walivyo watungua home and away i mean gol 4 home kwao then dar- halali akaja na visingizio kibao et ooh tulizuiliwa airport... Ooh! Cjui walituhujum but wakaja kuwanyuka 3-1 home very sad

ndo maana mi sijajitapa; ila kubwa kuliko unaikumbuka ile ya enzi za akina Keni Mkapa Yanga ilipoenda Morocco ikachapwa gori 6 kwa kalai: hizi timu ni za hapahapa tu hakuna cha Jangwani wala Msimbazi: wa-Tz tutabaki tu kuwa shamba la bibi
 
Ni kama vile simba anapojichukulia point kwa Lyon na coast union
Mkuu sio sawa na mechi ya Toto na Yanga, mwaka jana mechi ya mwisho golikipa wa Toto alikuwa anaruka mpira ili uingie golini lengo tu Yanga achukue ubingwa.
 
Mkuu sio sawa na mechi ya Toto na Yanga, mwaka jana mechi ya mwisho golikipa wa Toto alikuwa anaruka mpira ili uingie golini lengo tu Yanga achukue ubingwa.
Ngolikipa wa Toto alipewa pesa akakataa mpaka mapumziko yanga ilikuwa haijafunga ndipo yule golikipa akatolewa akaingizwa golikipa namba 2 hapa ndipo goli zipoanza kuingia na kwa heshima hiyo golikipa aliekataa kuwaachia yanga kufunga simba wamemsajili...
 
Mkuu ngoja tuwaache wafurahie ushindi wao wa magumashi dhidi ya Toto, lakini siku wanacheza na JKT Oljoro ndo watajua timu yao ni bora au la kabla hawajakutana na sisi, strikers wao ni wazuri lakini beki yao ni mbovu hadi leo wamekunywa goli tisa, labda kama nao wamewaachia Toto ili kujaribu kupoteza lengo.
 
Azam wanaongoza kwa goli ngapi hadi sasa? mliopo uwanjani, kwa maana najua leo lazima YANGA warudi nafasi yake ya kila siku ya 4
 
Back
Top Bottom