Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Manji yupo?Tunawashambulia sana mkuu.....Tumewakosakosa sana dakika 10 za mwisho
Manji yupo?Tunawashambulia sana mkuu.....Tumewakosakosa sana dakika 10 za mwisho
Manji is always there.....So is Bala.........Always hereManji yupo?
Leo manu wameshikwa ....teh teh
Wanajeshi wako vizuri sana...Manu 1 : Man City 4leo kazi wanayo,mungu wabariki wanajeshi
Same here......Nakusubiri hiyo jumamosi.......mtani nakusubiri tarehe 29....
dk 89 Man c goli la 4!
dk 90 la 5!
wameshaongeza la 6dk 90 la 5!
Unamjua Okwi, Sunzu na BobanSame here......Nakusubiri hiyo jumamosi.......
Asamoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah.............
Teh teh!!....
hawa JKT Oljoro wana chezea shilingi kwenye tundu la shimo.........
Mimi namjua Asamoah tu.......Fikiria Asamoah anapata pande la Rashid Gumbo 'Fundi' kutoka kona ya kushoto,anajitwika kichwa kinaenda upande wa kulia wa goli Kaseja anaenda kushoto........Gooooooooooooooooooooooooal..........Yanga 1:0 Simba.......................Kamoja tuuu....Unamjua Okwi, Sunzu na Boban
wanashambuliwa sana..kwani vipi mkuu,wanashambuliwa sana nin,
haya mkuu tuombe uzima tukutane hapa....Mimi namjua Asamoah tu.......Fikiria Asamoah anapata pande la Rashid Gumbo 'Fundi' kutoka kona ya kushoto,anajitwika kichwa kinaenda upande wa kulia wa goli Kaseja anaenda kushoto........Gooooooooooooooooooooooooal..........Yanga 1:0 Simba.......................Kamoja tuuu....
hawa JKT Oljoro wana chezea shilingi kwenye tundu la shimo.........