Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Hongera simba naamini siku yangu imeanza vizuri, Barcelona hawataniangusha. Big up Simba
 
Yebo yebo leo anapigwa au TOTO lake litamwachia?
 
TOTO watapigwa nyingi leo na hawa YANGA inaonekana toto wameamua kuachi, GOLI LA 3 hilo
 
Goli la 1 Huruna N dk ya 8, goli la 2 Keneth A daki 10, goli la 3 Tegete dk 15
 
Kati ya Toto na Yanga hakuna ushindani, huwa wanacheza ili ratiba ikamilishwe lakini ni wazi kabisa Yanga lazima achukue pointi hasa anapokuwa kwenye wakati mgumu.
 
kweli nimeamini toto ni yanga kidogo washapigwa tatu..
 
.....imeonekana kipa wa toto amekiuka mashariti ikabidi ajifanye ameumia ili atolewe; makubaliano ni kwamba Toto Africa lazima ifungwe na Yanga leo kwa gori zaidi ya 3 lkn si kwa haraka kihivyo,kwa misingi ya kuzuga ili isije ikaonekana kwamba wamepanga matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…