Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Simba wanaandika bao la pili kupitia kwa Boban. Dk ya nane kipindi cha pili.
 
Ni bao zuri sana. Pasi ya Okwi. Kama kawaida yake, Boban hashangilii.
 
Simba wanaafanya mabadiliko mengine, anaingia SHOMARI KAPOMBE kuchukua nafasi ya MAFISANGO.
 
list ya leo ikoje na Boban kaingia badala ya nani? Inaonyesha sub hiyo imebadili mchezo ?
 
Kaseja, Cholo, Jabu, Nyoso, Obadia Mungusa, Jerry Santo, Ulimboka, Mafisango/Kapombe, Sunzu, Okwi, Uhuru/Boban.

Ni kweli Boban ameongeza uhai kwenye striking force. Huyu Kapombe lazima atafanya mambo makubwa zaidi. Anaujua mpira vilivyo.
 
nzuri hiyo, UHURU alikuwa akiremba sana
 
Na m-miss sana kazimoto, hope ataanza kucheza soon. Ile game ya Yanga dk 17 za mwanzo hawatamsahau.....!!

Nafagilia sana yosso, nimeambiwa huyu Kapombe ni balaa, ngoja tumtafutie chuo na scholarship kijana afaidike....
 
Dogo Kapombe ni noma
 
Back
Top Bottom