The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
na toto vip
hakuna mabadiliko mkuu,sunzu kaumia
na toto vip
Bala is always here......afadhali Yanga ishinde ili mashabiki wa yanga wawe wanachangia.....hahahah
we acha tuuu daaa!ungezimia!
kaka,unatania au,
pole nduguwe acha tuuu daaa!
asante mkuuu daaa!pole ndugu
Bado bana....mza mpira umekwisha!
aiseee bado haujaisha tuuu! Aaaighhhhaisee.....
Mwanza refa kaongeza dakika 5....
Halafu wanetu wapo 10 uwanjani lakini hiyo shu'huli yake mmmhhhhh!!!!!
mza mpira umekwisha!
hakuna mabadiliko mkuu,sunzu kaumia
Unawahi??
Huku kukamia kwa TOTO kungekuwa hivi siku zote VPL ingekuwa nzuri sana. Tatizo lao wanatukamia siye tuuuuu...!!!! Hovyo kabisa hawa TOTO. Sijui wanalipwa nini hawa?
Full Time: TOTO 3 SIMBA 3
Huku kukamia kwa TOTO kungekuwa hivi siku zote VPL ingekuwa nzuri sana. Tatizo lao wanatukamia siye tuuuuu...!!!! Hovyo kabisa hawa TOTO. Sijui wanalipwa nini hawa?
Full Time: TOTO 3 SIMBA 3