bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 644
Safi mkuu hawa watoto wanatakiwa kulambishwa fimbo tanoni Sunzu tena
Safi mkuu hawa watoto wanatakiwa kulambishwa fimbo tanoni Sunzu tena
pole bwana ndo mpila huo!khaaah! Leo tuna kimavi,duuh!
pole weeee!safi mkuu hawa watoto wanatakiwa kulambishwa fimbo tano
aaaaah hawa toto vipi tena!simba 3-3 toto

Defence ya Simba inayumba??Toto 3 na simba 2
Yanga kushinda mpaka mbelekopole weeee!
pole weeee!

Defence ya Simba inayumba??
Kaseja wataanza kumfikiria vingine.....anageuka kapu la magoli wakati alikuwa hajafungwa mechi tano mfululizo.
unajua historia haiwapi simba nafasi ya kushinda sasa usipo wapanga kiakili...ujue yatawakuata

Defence ya Simba inayumba??
Kaseja wataanza kumfikiria vingine.....anageuka kapu la magoli wakati alikuwa hajafungwa mechi tano mfululizo.