<br />yanga wanatutakia nn sisi washabiki wake?
Kweli Kamugisha wakiendelee mwendo wao huo bora ujiuzulu na karibuWasipoangalia ntajiuzulu kwa muda kuishabikia yanga jamani au mnanishaurije?
mfungaji abarikiwe,ni nani huyo?
<br />hatujasawazisha tu?
<br />yanga mwaka wa shetani