Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

• Total voters
72
• Poll closed .
Aisee tunakwenda na mwendo wa moja moja tu, vipi timu yetu haijakaa vizuri bado!?

timu yenu kama hajikaa vizuri stage hii, mnategemea kufika kokote kweli msimu huu? maana huwa mna-collapse (kama arsenal vile) ligi inavyoelekea ukingon!!

wenzenu yanga wamezoea kuwa slow starters miaka yote (kama mani yu vile) lakini wana-end up kuwa machampioni!

jipe moyo

Kipindi cha kwanza kimeisha Yanga 1-1 African Lyon.
Yanga ni kama CCM tu tajiri wao amejitoa hawana uwezo wa soka tena maana walikuwa wanashinda kwa kubebwa na waamuzi.Leo wasipokomaa watarudi mkiani

me ni simba damu,ila leo nawaombea kandambili ushindi ili angalau tupate changamoto,naamini bila yanga hakuna mishe za kueleweka simba,na wakiendelea hv mwakani tutakosa changamoto kwenye ligi maana dalili zote za kushuka daraja kandambili naziona mwaka huu,kazi wanayo

tuwekee line-up kwa timu zote nazo tuzijadili jamani:

Huu mpira wa kusikiliza redion mara umeme ukatike studio utapata line up kweli, mimi mwenyewe nimeanza kusikiliza mpira ushaanza.

Nasikia Yanga wamepata gori la pili, washukuru Mungu vingenevyo......

Full time: Yanga 2-1 Africa Lyon; Magazeti ya Yanga kesho utayasikia 'Yanga yaanza ligi'

Athante yethu tumethinda, wabaya watu bwana, wametuombea mabaya wameshindwa. yanga oyeee, chako chako tu hata kama kibaya!

Athante yethu tumethinda, wabaya watu bwana, wametuombea mabaya wameshindwa. yanga oyeee, chako chako tu hata kama kibaya!

hongera sana lakini mkuu hata mkifungwa jioneshe tu kwani kitu gani kufungwa..

Afadhali leo Yanga wameshinda maana tulikuwa tumeanza kufikiria mwakani tutakosa mtani kwenye Ligi

Back
Top Bottom