...Hizi klabu za bongo kama sirikali yao tuuu, fiksi mingi kila kona ubunifu na huduma ziro. Hivi zinashindwa nini kuanzisha chat rooms/ live game threads ktk web sites zao ili wapenzi na wanachama wawe wanafuatilia matokeo ya mechi live? Tena wale wanaokuwa wapo uwanjani na simu zao wanaweza kuwa wanapo-st hata video clips wakati game zinaendelea.
Kelele za mkonga sijui wa taifa, zimeanza miaka na huyo msanii JK alishatamba kuwa sasa mitandao itakuwa bwerere mpaka huko Nansio... lakini timu hizi zimejaa wasanii km yeye tu, Rage, Hasanoo, sijui Kifukwe, huyo wakili, Rupia....ndo maana yale yale. Unauza players dola laki lakini web site hata version ya kimombo kidogo hakuna sasa wanaotaka kuanglia kilugha huko nje kama wanatafuta players ni nani...!! Updates zenyewe mpaka kuifunga yanga tuuu, why, whyyyy...?????