Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Azam bingwa, saaafi sana tupa kule makandambili kufilia mbali kabisa ebo!
 
Yani yanga waliuza game yao muhimu na mgambo wakitegemea Azam angefungwa leo?
Big Azam mmeweka record mpya na najua wachezaji wengi watataka kujiunga na timu yenu ili washiriki champions ligi ya Afrika.
 
Mbona nasikia kipande hiyo refa ni mtata sana...anaonesha upendeleo dhahiri shahiri kwa Azam.

Hakuna upendeleo hiyo ndio ladha ya mpira. Hngera Azam Fc.ila nausikitia Mkia
 
Mbeya City 1-2 Azam FC, "FT"

JKT Oljoro 1-2 Yanga SC,

Ashanti Utd 1-0 Simba SC "FT"
 
Back
Top Bottom