2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,630
wadau ngapi ngapi huko.na wale wa liverpool nawapa hongera
Azam bingwa.
wadau ngapi ngapi huko.na wale wa liverpool nawapa hongera
FT Mnyama kakalia kimoja.
duh.azam hatimaye anachukua ubingwa safari hii😀
Ingekuwa ukimfunga Yanga unachukua ubingwa,jmosi tungetangaza ubingwa mnyama
Ingekuwa ukimfunga Yanga unachukua ubingwa,jmosi tungetangaza ubingwa mnyama
Mayanga na masimba ngoma inogile Azam oyee!
Kumbukeni Yanga ina Match ya Mezani ...Ile match kiporo ya Yanga na JKT Mgambo rufaa bado