Hapana mkuu Yanga ndo wana nafasi nzuri ya kuwa bingwa mkuu wangu mfumo unaotumika katika VPL kwa timu zinazofungana points ni kwa kuangalia Goal difference ambayo inapatikana kwa kuangalia tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa,kabla ya mechi ya leo Goal difference iko hivi: Simba wanefunga magoli 36 na wamefungwa 15(36-15=21) na Yanga wamefunga magoli 26 na wamefungwa 06(26-06=20) so kabla ya mechi ya leo goal difference ni Simba21-Yanga20=01(hii ni kabla ya mechi ya leo ya Yanga ambayo inaendelea na Yanga inaongoza kwa magoli 3-1)