Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
kusingekuwa na maajabu yanga wasingetetea kombe msimu huu, ila kwasababu maajabu yapo basi yanga atatetea kombe!
 
mara NYINGI hali ikiwa mbaya kwa ARSENAL, YANGA huwa anatakata,duh hali mbaya KWA GUNNERS tayari !
 
Wapenzi wa Simba ndiyo wanaonekana, jana wamepata sare (ushindi wa Simba)

yani yanga wakae wakijua mechi yanw ngumu ni ya simba! Simba kabakiza mechi moja tu msimu huu na yanga, hapo ndipo wanaosema simba hamna kitu watapata jibu..mpira fitna.
 
yani yanga wakae wakijua mechi yanw ngumu ni ya simba! Simba kabakiza mechi moja tu msimu huu na yanga, hapo ndipo wanaosema simba hamna kitu watapata jibu..mpira fitna.
Ni ujinga mtupu kwa hao simba, kukubali kutocheza mechi za kimataifa kisa kukamia mechi moja dhidi ya yanga tu, kweli mbumbumbu fc ni shida!!
 
Back
Top Bottom