Mpira haujaisha tu??
hahahahaaaa... ndo kwanza umeanza mkuu.
Mpira haujaisha tu??
Dakika 52; Simba 1 Kagera Sugar 1
bado bila bila
kumekucha....uwanja wa kaitaba.
full time sima 1 na kagera 1
yaani hadi mpira unamalizika uzi umeshindwa hata kujaa page mbili!sijui ni timu au lingi ndo imekosa mvuto!!