Leo kwa mara ya kwanza simuoni mtu anayeitwa Makoye Matale katika threads za VPL updates
Wataandika hivi: YANGA YAITOA JASHO MGAMBO TANGA!Sijui magazeti yao ya Mwanaspoti na Champion kesho yataandikaje.
AZAM itoe sare kwani watakuwa wamesimama uwanjani au? Halafu tunawapiga tena 19 April.Rejea posts zangu hapo juu, nipo sana. Game limeenda vibaya pale Mkwakwani., refa kajitahidi sana kutusaidia lakini hatukumpa ushirikiano. Hata hivyo tunayo matumaini ya kutetea ubingwa wetu. Azam akitoa sare na Ruvu Shooting na MCC tutakuwa tumepeta vinginevyo tukubali Azam wametisha mwaka huu.
kila la kheri kwa azam you diserve to be the champion.
Mbona unaanza kuweweseka kabla hata hujavuliwa suruali?kocha amewekeza nguvu kwa ajili ya yanga utafikiri ameajiliwa kwa kazi ya kuifunga yanga!anashindwa kuifunga simba anaisubiri yanga!
AZAM itoe sare kwani watakuwa wamesimama uwanjani au? Halafu tunawapiga tena 19 April.
thanks dude kwa kulitambua hilo..Rejea posts zangu hapo juu, nipo sana. Game limeenda vibaya pale Mkwakwani., refa kajitahidi sana kutusaidia lakini hatukumpa ushirikiano. Hata hivyo tunayo matumaini ya kutetea ubingwa wetu. Azam akitoa sare na Ruvu Shooting na MCC tutakuwa tumepeta vinginevyo tukubali Azam wametisha mwaka huu.
Sijui magazeti yao ya Mwanaspoti na Champion kesho yataandikaje.
Mkuu nimefurahi sana maana walitucheka tulipopigwa kimoko wao wamevua bukta zao mara 2. Hapa nakunywa kinana yangu ya 7.Leo nimefurahi yanga kupigwa na migambo,safi sana.
Siku ya leo ni kiboko hadi Masuke kajitokeza hadharani licha ya Simba kufungwa. Naamini kabisa Mungu kaamua kuwafurahisha Azam na Simba kwa muda huku akiwa amepanga Yanga ndiye bingwa. Furahini kwa muda ili mje mlie mwisho wa ligi.
Ile ile iliyokutia 5-0, 3-1, 3-3.Kwa timu ipi? Naona bangi zimekupagawisha.
salamu za pole kwa hawa ndugu zangu makoye matale mandieta masuke balantanda watu8my beluvd sistas bantu lady n many more..
#AzamFor2014
cc Kitoabu bagamoyo aboodmsuni
Ile ile iliyokutia 5-0, 3-1, 3-3.
Mkuu nimefurahi sana maana walitucheka tulipopigwa kimoko wao wamevua bukta zao mara 2. Hapa nakunywa kinana yangu ya 7.