Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
hazirudivtena ni
dk 85 mgambo 2 - 1 yanga
saafi saana dadadeki piga nyota ya kijani na ile nyekundu.
hazirudivtena ni
dk 85 mgambo 2 - 1 yanga
Hakuna lolote, walitaka kuikomoa Simba baada ya kusikia anataka asajiliwe dirisha dogo. Kuna mchezaji mwingine anaitwa Shabani Kondo, Yanga walimuiba kwenye mazoezi ya Simba wakamsainisha fomu za usajili usiku wa manane, matokeo yake hajapangwa hata mechi moja hadi hivi sasa! Yanga wafuate ushauri wa benchi la ufundi katika kusajili, sio kama sasa Bin Kleb anaona fahari kutembea na briefcase yenye hela kutafuta wachezaji wa Simba!Walisema amesajiliwa kwa mechi za kimataifa, sijui mechi ipi amecheza?
twende bhana tukaone spurs anavyokalishwa huku biashara hakuna
dk 95 mgamb 2 - 1 azam
Mkuu hii inachezwa uwanja gani na ni ligi gani?? Hahaaaa, bila shaka ni furaha ya harufu ya ubingwadk 95 mgamb 2 - 1 azam
Leo nimefurahi yanga kupigwa na migambo,safi sana.
Yanga ..
Kila la kheri kwa Azam you diserve to be the champion.