Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Wazee wa Alexandria & Uturuki wamefungwa na mgambo wa Handeni (tena wakiwa 10!). Bora na sisi tulifungwa na Mgambo 11
 
Mgambo wa jiji nasikia leo wamekamata bidhaa za magendo za mhindi mmoja maarufu zilitotaka kuingizwa bandari ya Tanga.
 
Yanga kitu gani mbele ya mgambo? Yanga daima nyuma mbele mwiko. Azam haooon!Kwa raha kabisa ndio mbigwa mtarajiwa.
 
Wazee wa Alexandria & Uturuki wamefungwa na mgambo wa Handeni (tena wakiwa 10!). Bora na sisi tulifungwa na Mgambo 11

Sijui magazeti yao ya Mwanaspoti na Champion kesho yataandikaje.
 
Ndomyana vipi mbona kimya au ndo maumivu ya tim yako ya yanga kwani ulisema hata kama kuna tim ya ukoo utashabikia yanga

Ndomyana kapotea watu tunayataka matokeo ya mby jamani, najua mechi inakaribia kuisha tuhabarishe wakuu
 
Hii ndo raha ya kushabikia simba na yanga lazima ukorofishane na majirani zako kama itavyokuwa kwa akina ndomyana.
 
Last edited by a moderator:
Masuke hao wote Yanga.Vichwa vya habari kesho Yanga kafa kiume Tanga. Ahly iliyowatoa imeshajichokea imepigwa mechi zote 2 na bingwa wa Libya 1_0. na 3_2.Tena mechi ya kwanza imechezwa Tunisia kwa sababu ya hali ya salaam nchini Libya.
 
Mkuu Jabulani hawawezi kuitika hata kwa manati hao watu.
 
Back
Top Bottom