Kwani nyie Yebo Yebo mmefanywaje kule Tanga? Au leo haipo katika mwaka huu?Nyie mwaka huu ni wa kupigwa tu.
Wacha uwongo wewe! Kwani Okwi hajacheza??
Lakini sisi pia tumewaloketesha mara moja wakati ninyi mlishindwa.
Kwani nyie Yebo Yebo mmefanywaje kule Tanga? Au leo haipo katika mwaka huu?
Waleteni mbeya city sasa !
Mbeya City mtawafuata wenyewe baada ya Ruvu Shooting kuwafanyia kile walichokifanya leo huko Bukoba. Furahini kwa muda ili mwisho muomboleze kwa machungu sana.
Na mnyama lazima awapakate!!
Ndetichia kama nakuona vile ulivyo na furaha. Hongera buddy.