Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Angalia game alizocheza Kaseja na alizocheza Dida,leo naskia goli la kwanza katoa boko

Yondani ndiye katoa boko, sio Kaseja. Mbona unakuwa mgumu wa kuelewa?
 
Yondani ndiye katoa boko, sio Kaseja. Mbona unakuwa mgumu wa kuelewa?

Mkuu hawa achana nao vichwa yao ngumu siku zote...

Tulipomuacha walimchukua kwa mbwembwe na mineno kibaaaaaaoooo eti wanaikomoa Simba...

Sasa hivi ndiyo wamemgeuza mbuzi wa kafara...kila kitu Kaseja
 
Leteni utamu wadau. Binafsi nipo safarini hivyo radio ama tv kusiliza ni ngumu. Naipenda JF maana kama nipo live na mimi vile.
 
Updates:
Azam 2:1 Simba (89)
Mgambo 2:1 Yanga (84)
Mbeya city 1:0 Prison 60.
 
Leteni utamu wadau. Binafsi nipo safarini hivyo radio ama tv kusiliza ni ngumu. Naipenda JF maana kama nipo live na mimi vile.

safari njema mkuu!
Updates utazipata hapa hapa. JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…