ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Binafsi sikukubaliana na kaseja kurudi jangwani kwa mara ya pili...ktka game mistake kutokea ni kawaida, ngoja tuone vijana watakavyorudi kipindi cha pili.Yondani alimrudishia mpira kaseja....badala abutue akataka kupiga pasi ya kimo cha ng'ombe ili ule mpira umpite mshambulizi kichwani.....matokeo yake Mpira ukamgonga mshambulizi kichwani moja kwa moja wavuni.
gemi moja moja..
gemu imeanza..
gemi moja moja..
1. Juma Kaseja -29
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" -23
5. Kelvin Yondani -6
6. Frank Domayo -18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga -26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa 17
11. Emmanuel Okwi -25
Mbona updates za maana hakuna? Vipi mbeya!
dk 53 azam 1 - 1 simb
kipindi cha pili..imeanza (start) au imerejea (resume)? kwani kipindi cha kwanza kimefutwa? wadau mlipo kwenye eneo la tukio tunaomba updates tafadhali.
Simba team, naomba muwaachie Azam wawafunge 5-0 ili yeboyebo wasichukue kombe msimu huu.
Jamaa apumnzike sasa
dk 53 azam 1 - 1 simb
Yanga mnabebwa...