Azam nakuombea dua ushinde nawe uweze onja raha ya ubingwa achana na ule ulojo
Dk 37 mkwakwani bado bila bila jamani wana azam 2iombee team yetu. ili 2hakikishe hapiti m2 hata kwa mda2 au vp Mazee?
Dk 37 mkwakwani bado bila bila jamani wana azam 2iombee team yetu. ili 2hakikishe hapiti m2 hata kwa mda2 au vp Mazee?
Cz hata Azam akishinda leo ni kama amekimbia manyunyu halafu mvua ya mawe atakutana nayo huki Mbeya.
Nimekuja kuamsha bad mood za watu humu
MUNGU jalia AZAM asuluhu na jumapili asuluhu tena na MAMBUMBUMBU FC
Mimi nipo nafuatilia tu mnavyojidai na timu zenu huku nikiburudika na wimbo mmoja wa Franco Luambo Makiadi unaenda wa jina la Kimpa Kisangameni.
Leo ligi kuu ya vodacom inaendelea uku macho na masikio yakiwa uwanja wa Taifa pale Yanga (mabingwa watetezi) itakapo pambana na Prison ya Mbeya (wajelajela) huko Tanga Wanajeshi wa JKT Mgambo ya Handeni wataikalibisha Azam FC vinara wa ligi.
Timu yenu haina rekodi ya kufanya vizuri ugenini, jeuri yenu iko Chamazi, sijui ni kwa nini! Huenda kuna bahasha huwa zinatembezwa kwa timu ngeni.
Mimi nipo nafuatilia tu mnavyojidai na timu zenu huku nikiburudika na wimbo mmoja wa Franco Luambo Makiadi unaenda wa jina la Kimpa Kisangameni.
Watu gani hao Mkuu?