Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Huyo aliyekosa penalty achunguzwe!

inawezekana mzee akili mamvi alimtumia mpunga kwa mpesa.

leo azam anampakata mtu na kandambili wanakaa.
 
Azam nakuombea dua ushinde nawe uweze onja raha ya ubingwa achana na ule ulojo
 
Kufulia kwa Simba kumepunguza ladha ya ligi kuu, wakuuu wapenzi wa Mambumbumbu SC wamepotea kabisa.
 
Dk 37 mkwakwani bado bila bila jamani wana azam 2iombee team yetu. ili 2hakikishe hapiti m2 hata kwa mda2 au vp Mazee?
 
Back
Top Bottom