Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Lakini jamani kiwango kinacho onyeshwa na simba katika soka nicha hali ya juu sana..sijui kwa nn tuna fungwafungwa.?
Napenda kuona Yanga ikichukua ubingwa na Simba ikiambulia angalau nafasi ya pili lakini sipendi kabisa Simba kuwa nafasi ya nne. Kwa mwenendo huu ligi imekosa msisimko kama ilivyokuwa kwenye Mapinduzi Cup baada ya Yanga kujitoa.
Usije ukashangaa siku hiyo mashabiki wa Simba nao wakawa wanaishangilia Azam, inaweza kuwa mara ya kwanza upande wa kulia wa uwanja wa Taifa ukashabikia Simba na upande wa kushoto ukashabikia wapinzani wao.
mjitoe na vpl kama vipi..
Nasikia Messi wa Tanzania kavunja kioo cha mlango wa chumba cha kupumzikia wachezaji baada ya kufungwa na Coast leo uwanja wa Taifa
Nasikia Messi wa Tanzania kavunja kioo cha mlango wa chumba cha kupumzikia wachezaji baada ya kufungwa na Coast leo uwanja wa Taifa
Siku hiyo mi nitapiga uzi mwekundu wa Msimbazi kabisa.'Kuna siku kila mtu ataishangilia Simba' (Julio, n.d.). Hiyo siku imefika, siku Simba inacheza na Azam, Yanga tutaishangilia Simba, msituangushe tu, inshaallah mtashinda.
Siku hiyo mi nitapiga uzi mwekundu wa Msimbazi kabisa.
Nasikia Messi wa Tanzania kavunja kioo cha mlango wa chumba cha kupumzikia wachezaji baada ya kufungwa na Coast leo uwanja wa Taifa
Ndio matatizo ya kujipa majina makubwa wakati uwezo wao ni wakawaida sana........Messi yupo mmoja tu wa Barcelona wengine hao wa mikia ni makanjanja tu!!!!
Leo ligi kuu ya vodacom inaendelea uku macho na masikio yakiwa uwanja wa Taifa pale Yanga (mabingwa watetezi) itakapo pambana na Prison ya Mbeya (wajelajela) huko Tanga Wanajeshi wa JKT Mgambo ya Handeni wataikalibisha Azam FC vinara wa ligi.
Mechi yenye upinzani leo ipo Tanga, hapa dar hamna kitu tawi linaleta hasabu makao makuu
Mechi yenye upinzani leo ipo Tanga, hapa dar hamna kitu tawi linaleta hasabu makao makuu