Dona Kantri
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 346
- 115
mbeya city 2 ruvu 0
Matokeo ya kidato cha ngapi?[h=2]Msaada wa Matokeo ya Mbeya cty vs Ruvu Shooting[/h]
mbeya city 2 ruvu 0
Matokeo ya kidato cha ngapi?
Matokeo ya kidato cha ngapi?
Matokeo ya kidato cha ngapi?
VODACOM PREMIER LEAGUEWadau tupeni matokeo haya basi
Natokea tabora ila haina nouma japo 2mefungwa ni hali ya mchezo.
Umepata div 5 nini mkuu ukiskia matokeo tu unashtuka! Au mbeya city mmesoma nae
mkuu hebu tutajie wachezaj wa simba wote waliopo yanga
Natokea tabora ila haina nouma japo 2mefungwa ni hali ya mchezo.
Kwa hiyo hiyo picha inauhusiano gani na wewe kutoka tabora, au unadhani ni Facebook hapa.?
Hongera kwa ushindi,kidogo yanga imenipunguzia machungu.
6(Aseno)-3(Yanga)=3
pamoja,ushindi wa leo nmeupokea kwa mikono miwili!Bado tunausoma mchezo Cc Makoye Matale ACCOUNT FULL
Natokea tabora ila haina nouma japo 2mefungwa ni hali ya mchezo.
Asante Yanga, mimi nawapenda siku zote.