Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Wakuu wangu Katiba Mpya imezingua na tunaachana na stress zake.Sasa pamoja na mimi kuwa Chalinze kwny kampeni lakini nitawalea LIVE game ya Yanga na Rhino Gari ya Yanga imeingia uwanjani,watu wanalipuka hapa.inapaki na kocha anashuka,akifuatiwa na Bartez,Chuji,Yondani,Ngasa etc.heeh mbona nusu ya timu hii ni SIMBA ya zamani.SIMBA CHUO CHA MAFUNZO

yanga piga hao takataka sijui wanajeshi, wajeshi bongo?!
Rhino leo lazima adinde.yanga piga hao takataka sijui wanajeshi, wajeshi bongo?!
Dk28:Chelsea3-0Arsenal.
Rhino leo lazima adinde.
Rhino leo lazima adinde.
First Eleven ya Yanga baadhi yao ni Kanavaro,Tegete,Okwi,Ngasa,Msuva,Tegete,Joshua,Dilunga
Ngapi ngapi
Hizo ni dharau..mkuu Rhino ni watoto wakike hawawezi kudinda