Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Dakika ni ya 25 bado milango ni migumu, Yanga leo hakuna 6...
 
Mkuu pole sana, me natamani sana Azam ndo wachukue ili kombe kuz hizi simba na nyanga ndo zinaua soka la hapa kwetu.
wewe unangangania Azam ichukue kombe wakati hapo juu hujaipigia kura...
 
Mwape anawanyanyua wapenzi wa yeboyebo....

Hahahahah . . . . Kaka wewe hufai kuwa mtangazaji, coz una lugha za dhihaka. Hata Nkamia ana nafuu. Bao la 4 la Mzambia ktk mechi 2 tu. Akiendelea hivi itamchukua mechi 5 tu kumpita Mwaikimba wenye magoli 7
 
ni watani zangu, jamaa anaonekana yuko vizuri nahuyu Idd Mbaga nae yuko kwenye fomu kweli.....tatawaona kwenye mechi za kimataifa weekend hii
 
Poleni sana Simba na pole pia iende kwa Ivuga

1. Poleni Simba. Mpira si kupiga "huu" sana..

2. Hongereni wananchi wengine kuwa sasa mtakaa mtaani kwa amani walau kwa siku chache zijazo..maana!!
 
Dakika ya 42, John Boko anaipatia Azam goli la 3....hawa AFC wanaweza wakatoa 6 tena nini?
 
dakika ya 48, Mrisho Ngasa anawanyanyua wapenzi wa AZAM FC

Azam FC 4 na AFC 0
 
Back
Top Bottom