Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Dakika ya 76, Meshack Abel wameshindwa kuelewana Said Nyoso, hili game tumelala
 
Ndiyo mpira jamani, hata Barca wiki iliyopita kala tatu, ni sehemu ya matokeo ya mpira tu
 
wasiwasi wangu ni mechi ya kimataifa inayokuja kwa mpira huu

Mkuu ukishabikia sana mpira wa bongo utapata presure bure! mpira wa bongo unachezwa sana kwenye radio na magazeti lakini uwanjani hamna kitu!
 
Mpira umekwisha na Azam FC imeondoka na pointi zote 3 na magoli 3 zidi ya goli 2 za Simba...........
 
Mkuu ukishabikia sana mpira wa bongo utapata presure bure! mpira wa bongo unachezwa sana kwenye radio na magazeti lakini uwanjani hamna kitu!
Ngonja nijitahidi kushabikia kidogo maana siwezi kuacha kushabikia....
 
Mpira umekwisha na Azam FC imeondoka na pointi zote 3 na magoli 3 zidi ya goli 2 za Simba...........
Mkuu pole sana, me natamani sana Azam ndo wachukue ili kombe kuz hizi simba na nyanga ndo zinaua soka la hapa kwetu.
 
Yatarudi kaka. Endelea kutujuza

Mkuu pole sana, me natamani sana Azam ndo wachukue ili kombe kuz hizi simba na nyanga ndo zinaua soka la hapa kwetu.

Compare hizi quotes . . . . . . HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHH:bump2::bump2::bump2::bounce::bounce::heh: :heh: :heh: :biggrin1: :biggrin1:
 
Leo ni Yanga na Polisi Tanzania na mpira umeshaanza ni dakika ya 3....
 
yeboyebo.JPG
 
Back
Top Bottom