Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Sure boy akae benchi Leo. Mtoto anacheza sana kinazi.
Anacheza kinazi vipi?
Sure boy akae benchi Leo. Mtoto anacheza sana kinazi.
Hakuna ushindi hapa.Here's Young Africans line-up to face Azam FC today:
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani "Cottton" - 5
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Hamis Kizza - 20
11. Emmanuel Okwi - 25
Subs:
1.Barthez, 2.Luhende, 3.Chuji, 4.Nizar, 5.Ngasa, 6.Javu, 7.Tegete
kwa nn?Hakuna ushindi hapa.
Kikosi dhaifu...kwa nn?
TV ya Samasung itakuwa inaonyesha.
Kwa nini?Hii mechi lazima azam akae...
Kwa nini?
Ni nani huyo?Leo jamaa mwenye sura ya Kinyarwanda mbona sioni atupe updates au penalty ya SAID BAHANUZI haijamtoka bado!